MAMBO MUHIMU KATIKA MAEZI YA MTOTO– MWONGOZO KWA WAZAZI WA KISASA

Malezi ya mtoto ni safari ya upendo, kujifunza, na kujitolea. Kama mzazi au mlezi, wewe ndiye msingi wa maisha ya baadaye ya mtoto wako. Katika makala hii, tunakuletea mambo muhimu unayopaswa kuyazingatia ili kumlea mtoto kwa njia bora – kimwili, kiakili, kihisia na kijamii. 1. Mpende Mtoto Bila Masharti Upendo ni chakula cha moyo waContinue reading “MAMBO MUHIMU KATIKA MAEZI YA MTOTO– MWONGOZO KWA WAZAZI WA KISASA”

UMUHIMU WA KUCHEZA KATIKA UKUAJI WA MTOTO

Watoto hupenda kucheza, lakini je, unajua kwamba michezo ni zaidi ya burudani tu? Kucheza ni sehemu muhimu sana ya ukuaji wa mtoto, kiakili, kihisia, kijamii na kimwili. Kwa wazazi na walezi, kuelewa thamani ya muda wa kucheza ni hatua kubwa katika kuwalea watoto walio na furaha, ubunifu na uwezo wa kujifunza. 1. Kukuza Ubongo naContinue reading “UMUHIMU WA KUCHEZA KATIKA UKUAJI WA MTOTO”

MSINGI IMARA KWA MAISHA YA BADAE

Utangulizi Malezi ya watoto ni jukumu lenye thamani kubwa katika kuunda jamii bora. Mtoto hupokea mafunzo ya kwanza nyumbani, na pale panapokosa malezi bora, msingi wa maisha yake unayumba. Makala hii itajadili maana ya malezi bora, changamoto za sasa, na namna ya kukabiliana nazo. 1. Umuhimu wa Malezi Bora Hujenga msingi wa tabia njema. HusaidiaContinue reading “MSINGI IMARA KWA MAISHA YA BADAE”

MALEZI YA MTOTO NA USALAMA NA ULINZI WA MTOTO

Kila familia, shule na jamii kwa ujumla inawajibu ya kuwapa watoto ULINZI na kuhakikisha wako SALAMA. Ukiwa kama mzazi unawajibuwa kumlinda mtoto na kumsikiliza lakini pia kumfundisha kujilinda yeye mwenyewe. NAMNA YA KUONGEA NA WATOTO KUHUSU ULINZI NA USALAMA WAO Mzazi anawajibu wa kumfundisha mtoto kuhusu usalama wake yeye mwenyewe. Mzazi umfundishe ujuzi WA usalamaContinue reading “MALEZI YA MTOTO NA USALAMA NA ULINZI WA MTOTO”

MALEZI YA MTOTO YANAYOMPATIA FURAHA

Kila mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Furaha ya mtoto ni Jambo la muhimu ambalo kila mzazi anatamani mtoto wake awe nayo. Katika tafiti zilozofanywa katika nchi 67 duniani zenye tamaduni tofauti, imani tofauti na vipato tofauti, wazazi kitu walichotamani kutokana na maswali waliyoulizwa ni watoto wao kuwa na furaha. Ni lazima kila mzazi aeleweContinue reading “MALEZI YA MTOTO YANAYOMPATIA FURAHA”

MALEZI YA MTOTO MSICHANA (BALEHE)

Vijana wengi huingia katika balehe mapema sana, kuishi maisha ya kupendeza sana, maisha ya vurugu, na ngono kwenye mitandao kuliko kizazi chochote kabla. Na bado vijana wengi wa kike hawajakomaa vile watu wanavyofikiria. Ukuaji wao wa mwili na mabadiliko ya haraka ulimwenguni. Kwa kuongezea huend shule muda mrefuu, hivyo hawana uzoefu na majukumu ya watuContinue reading “MALEZI YA MTOTO MSICHANA (BALEHE)”

MALEZI YA MTOTO NA MZAZI MMOJA NA FAMILIA ZA KILEO

Mzazi mmoja hulea mtoto/watoto bila msaada wa mwenzi, athari ya malezi ya mzazi mmoja kwa mtoto inaweza kuwa nzuri au mbaya. Maisha katika nyumba ya mzazi mmoja, japokuwa yamekuwa ni ya kawaida katika familia zetu za kileo yanaweza kuleta msongo wa mawazo kwa mzazi na mtoto. Katika familia za kileo malezi ya mzazi mmoja yamekuwaContinue reading “MALEZI YA MTOTO NA MZAZI MMOJA NA FAMILIA ZA KILEO”

MALEZI YA MTOTO NA AFYA YA AKILI

Afya ya akili ya mtoto inamaanisha kufikia hatua ya maendeleo na ya kihemko na kujifunza ujuzi mzuri wa kijamii na jinsi ya kukabiliana na wakati kuna shida Afya ya akili ya mtoto ni nini? Afya ya akili ya mtoto ni mtoto awe na hali nzuri ya maisha na aweze kufanya kazi vizuri nyumbani, shuleni naContinue reading “MALEZI YA MTOTO NA AFYA YA AKILI”

MALEZI YA MTOTO NA UNYANYASAJI WA WATOTO

Unyanyasaji wa watoto ni vitendo vya unyanyasaji na kupuuzwa vinavyotokea kwa watoto chini ya miaka 18. Inahusisha vitendo vyote vya unyanyasaji wa kimwili, kihisia, kijinsia, kupuuzwa, uzembe, kibiashara na unyonyaji mwingine ambayo hupelekea uhalisia wa madhara kwa afya za watoto, kuishi heshima, mahusiano majukumu, majukumu, uaminifu na nguvu Ukubwa Wa Tatizo La Unyanyasaji Wa WatotoContinue reading “MALEZI YA MTOTO NA UNYANYASAJI WA WATOTO”

MALEZI YA MTOTO

Wote tumekuwa tukitaka kuwa wazazi bora kwa watoto wetu lakini ushauri umekuwa mwingi katika kuwakuza watoto ili wawe na uwezo wa kujiaamini, rafiki na mwenye mafanikio. Ni muhimu sana kuweka uwiano katika vipaumbele, majukumu, mahitaji muhimu ya mtoto wako, wanafamilia wengine na wewe mwenyewe. Hapa tutajadiliana jinsi gani tunaweza kuwasaidia watoto wakue na kuwa, weweContinue reading “MALEZI YA MTOTO”

Design a site like this with WordPress.com
Get started