MALEZI YA MTOTO YANAYOMPATIA FURAHA

Kila mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu. Furaha ya mtoto ni Jambo la muhimu ambalo kila mzazi anatamani mtoto wake awe nayo. Katika tafiti zilozofanywa katika nchi 67 duniani zenye tamaduni tofauti, imani tofauti na vipato tofauti, wazazi kitu walichotamani kutokana na maswali waliyoulizwa ni watoto wao kuwa na furaha. Ni lazima kila mzazi aeleweContinue reading “MALEZI YA MTOTO YANAYOMPATIA FURAHA”

6. MALEZI YA MTOTO WA VIJANA( BALEHE)

Ujana ni kipindi cha kati ya utoto na ukubwa, huanzia miaka 12 mpaka 18. Vijana hupata mabadiliko ya mwili ambayo huashiria kuwa mkubwa Ukuaji wa mwili Mabadiliko haya yanaweza kuwa ya kuchanganya na saa nyingine kutisha. Ni muhimu sana kwa mzazi kufahamu ni mabadiliko gani mtoto huyapata anavyokuwa katika ujana Mabadiliko kwa wavulana Mabadiliko kwaContinue reading “6. MALEZI YA MTOTO WA VIJANA( BALEHE)”

5. MALEZI YA MTOTO WA UMRI WA SHULE

Katika kipindi hiki ambacho mtoto ana miaka 3 mpaka 6-7, ukuaji wa mtoto katika kipindi hiki huwa ni mdogo kwasababu nguvu nyingi hutumika katika kupata maarifa kuliko kuongezeka kwa mwili Ukuaji wa mwili Urefu huongezeka takribani 5cm kwa mwaka. Mtoto (kike/kiume) huwa na miguu mirefu. Harakati na vitendo vya misuli Mtoto wa umri wa shuleContinue reading “5. MALEZI YA MTOTO WA UMRI WA SHULE”

4. MALEZI YA MTOTO KATIKA UMRI WA UTOTO WA MAPEMA

Utoto wa mapema ni kipindi kati ya miaka 4 adi 7. Ni kipindi ambacho mtoto hupata elimu yake ya awali ( chekechea) Ukuaji wa mwili Mtoto katika kipindi hiki huongezeka takribani kilo 1.8 kila mwaka na urefu wa mtoto huongezeka Muonekano wa mwili Mtoto huwa mrefu na mwili hupungua ukilinganisha na mtoto mdogo. Miguu yakeContinue reading “4. MALEZI YA MTOTO KATIKA UMRI WA UTOTO WA MAPEMA”

3. MALEZI YA MTOTO KATIKA UMRI WA UTOTO MDOGO

Kipindi cha utoto mdogo ni kati ya mwaka 1 adi 3. Wakati wa kipindi ukuaji wa mtoto huwa mdogo kuendana na mtoto Kutokana na uwezo wa mtoto kutembea, mtoto anauwezo wa kutoka sehemu moja kwenda kwingine. Hi huthibitisha njia ya uchunguzi na kujifunza mazingira yao Hatua kuu kipindi cha utoto mdogo Maendeleo ya utambuzi MtotoContinue reading “3. MALEZI YA MTOTO KATIKA UMRI WA UTOTO MDOGO”

2. MALEZI YA MTOTO KATIKA UMRI WA UTOTO

Kipindi hiki huanza mwezi wa kwanza mpaka mtoto anapofikisha mwaka mmoja. Ukuaji na maendeleo ya mtoto katika kipindi hiki huwa ni haraka Maendeleo ya mwili Maendeleo ya mwili wa mtoto ni uwezo wa mtoto kutumia na kudhibiti mwili wake. Maendeleo ya kimwili yaendane na ukuaji wa mtoto na kukua kwa ujuzi wa mwili ikiwa niContinue reading “2. MALEZI YA MTOTO KATIKA UMRI WA UTOTO”

MALEZI YA MTOTO NA UKUAJI WA MTOTO

Hatua za ukuaji wa mtoto Ukuaji wa mtoto umegawanyika katika hatua sita, kila hatua huleta uwezo na matarajio mapya katika jamii na kutumika kama mapito muhimu katika ukuaji wa mtoto 1. Kabla ya kujifungua Chembe moja kiumbe hubadilishwa na kuwa mtoto mwenye ajabu ya uwezo wa kujibadilisha kwenda kwenye maisha katika mazingira ya duniani HatuaContinue reading “MALEZI YA MTOTO NA UKUAJI WA MTOTO”

MALEZI MTOTO MAZURI

Kumlea mtoto ni kazi moja wapo ngumu na ni ya lazima kuitimiza hapa duniani, kazi ya malezi inaweza ikakufanya ujione pengine hukuwa tayari kumlea mtoto Videkezo vinavyoweza kukusaidia katika malezi mazuri ya mtoto wako Malezi ya mtoto sio rahisi, malezi ya mtoto ni kazi ngumu 1. Kukuza kujithamini kwa mtoto wako Mtoto huanza kujithamini kwaContinue reading “MALEZI MTOTO MAZURI”

Design a site like this with WordPress.com
Get started